FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Natamani sana hizi week Mbili huyu valverd amalizane na la liga kazi ibakie UEFA tusiwabeze Liverpool

Pia tunamuhitaji Leo at his best form ikiwezekana apate hata goli 2 au 3 pale camp nou May 1
Kwa kweli Liverpool si wa kuwabeza. Tunahitaji sana U-Ramos against Mane na Salah. We need Suarez na Coutinho pale Anfield in second leg wawe in superior form to dispense The Kopps out.
 
IYKWIM
IMG-20190418-WA0029.jpeg
 
Liver wanajipa moyo sana wakiamini salah na mane ndio waokozi wao wanashindwa kujua kwamba hao watakabika kirahisi sana maana barca wanakata mawasiliano kati wanyuma nyuma na wambele

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Wasiwasi wangu mimi upo kwa Mane, yule jamaa anaweza kudribble, labda siku hiyo tumuweke semedo aanze.
 
Hata mani walijisifu kuwatoa juve na psg.. Liva wanajisifia kuwatoa bayern... Bayern iliyojichokea..

Valverde sio mjinga... Anajua ni wachezaji gani wanao faa tactically.. Mambo yatakua sawa mfano mechi ya man tulidefend highline bus as CB tukawa na 3 4 3 man walikoma mbona na uwanja ulitanuka ghafla..

Nyie jamaa mnachekesha, yaani Man Utd mnahesabu mmefunga timu kweli?

Ule ni mkusanyiko wa watu wanaocheza cheza mpira.

Hakuna mshabiki wa Liverpool anayejisifu kuitoa Bayern, Liverpool ni mzoefu UEFA anajua kuitoa timu fulani siyo kigezo cha kuitoa nyingine.

Game vs Barca ni unique game, so itakuwa na approach yake kulingana na mahitaji.
 
Hata rm ni mzoefu tu

Barca sio wazoefu.

Nadhani argument yangu haikueleweka labda.

Point yangu ilikuwa kwamba nitamshangaa yeyote yule awe wa Barca au Liverpool anayedhani mechi ni rahisi upande wake. Labda tu kama ni kiushabiki.

Timu zote ni wazoefu UEFA, timu zote ziko kwenye form nzuri; kigezo cha umemtoa nani hakikupi guarantee ya kumtoa mwingine kwenye soccer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom