FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Semedo anacheza sana lakini safety first approach -inamuangusha-anapenda kutoa pass za kurudi nyuma sana-kwanini asi cross balls golini watu wakauana hapo golini-kacheza vizuri but when the chips are down foraging mbele ndio DNA ya Barca.
 
Kwahiyo Padri Mcharo siku hizi unajiita Mama Debora?

Aisee dunia ina maajabu!

- KANA -
 
barca hawana mpira wa kuchukua kombe, kati ya juve, na man city mmoja ndio bingwa
Man City amefungwa moja bila. Barca ameshinda moja bila. Ila wewe unaona Barca ndio hana uwezo wa kushinda kombe, unafikiri sawa sawa kweli?

- KANA -
 
In short, jana hatukua kwenye ubora wetu. Maybe tension ilikua kubwa sana, team nzima ili-underperfom.

Jordi Alba hakupandisha juu as he always do, akamuachia Ashley Young apande juu kutushambulia.

Arthur Melo na Rakitic walicheza kitakatifu sana, katikati pakapooza. Kwa mara ya kwanza msimu huu, nimeona Barca ikipoteza mpira mara nyingi sana hasa kipindi cha kwanza.

With a broken nose, huwezi kumlaumu La pulga kwa kiwango chake cha jana. Anyway, he enginereed Luke Shaw's own goal.

Defense ilikua na human errors za hapa na pale ambazo zingeweza kutudhuru. Thanks to Pique, he showed up with calmness and maturity to save our day.

Ni ujinga kudhani Barcelona atacheza Camp Nou kama alivyocheza jana. Mind you please, Dembele awaits!

Juzi niliangalia mechi ya liverpool na Porto, ninachoweza kusema ni kwamba Liverpool is overrated!

Tukutane Camp Nou!

- KANA -
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…