FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..
Messi dummies bhana,Pele ni zaidi ya magoli.
Hadi sasa hajamzid hta mpinzani wa pele, Muargentina mwenzie maradona.
Some records hazivunjiki

Sent using Brain

Acha kumfananisha King original na vitu vya kipumbavu....huyo pele wako wameplus na magoli ya vichochoroni. Na wakati huo hakukuwa na offside na sheria kibao hazikuwepo. Tena hakucheza ligi kubwa...na tim yake ni santos na new york cosmos...

huyo babu yako mwenye wivu na maneno mengi yasiyokuwa na maana angecheza wakati huu wa Messi asingeonekana hata kidogo. Na yeye analijuwa hilo.
 
Idiot..20 years to come mpira wa sasa utaitwa mpira wa vichochoroni..wajukuu au watoto wako watakwambia magoli ya andunje hata hayakupita kweny VAR na sheria mpya kbao znakazotungwa,time ina change vitu lakini KAMWE haibadili ukweli.
PELE the best of the best,ulkua katoto sana au ukkua hajazaliwa live with it,
Kuna watu km Franz Beckenbauer,Johan Cruyff hukuwaona lbda viclip vya youtube tu.
Pele is not only the best and great if all time but also Pele is quite possibly the greatest sportsperson of all time.

Wewe ulikuwepo enzi za akina pele, Alfredo de stefano, johan cruiff n.k? Isijekuwa nabishana na mtoto....

Nimegundua kinachokusumbua ni chuki na wala si kingine....so angalia tu usije ukajinyonga sababu ya King Messi.
 
Ah ah ah pathetic.unadhani wote humu watoto wenzio

Sent using Brain
 
Ah ah ah pathetic.unadhani wote humu watoto wenzio

Sent using Brain

Endelea kuteseka mkuu

Screenshot_20190331-193038_Instagram.jpg
 
Official: MARCA confirm they will review the first goal of Barça against Espanyol to determine its authorship.The decision will affect both the Pichichi and the Golden Boot award.https://t.co/BKjXQgZBBr

Hawa jamaa wameng'ang'ania.. Moto ni ule ule haizuii mnyama kutjpia zaidi

Sent by anonymous user
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom