BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
BEST IS CR7,ALL TIME GOAT IS PELEHuyu kiumbe ameshindikana kamanda wangu...mchezaji bora kuwahi kutokea katika soka! Anatupatia raha ambayo hatukuwahi kuipata kwa mchezaji yeyote waliopita na wa sasa. Mungu aendelee kumpa afya njema na umri mrefu wa kuishi!
Yeah, hata mi naona


humu mnachekesha sana.BEST IS CR7,ALL TIME GOAT IS PELE
Sent using Brain
hata wewe,ni mawazo yako binafsi,kumsifia messiHayo ni mawazo yako binafsi
Bangi bila sigara kali madhara yake ndyo kama hayaBEST IS CR7,ALL TIME GOAT IS PELE
Sent using Brain
Tatzo la mashabk wa Cr7 weng ni manchester united na timu atakayoenda Cr7, wamesahau kuwa mfalme mpaka sasa ni Mmoja tu King leo!Bangi bila sigara kali madhara yake ndyo kama haya
King Leo ni aibu kumfananisha na WamorokoTatzo la mashabk wa Cr7 weng ni manchester united na timu atakayoenda Cr7, wamesahau kuwa mfalme mpaka sasa ni Mmoja tu King leo!
wakati ukuta.

King Leo ni aibu kumfananisha na Wamoroko
Namuomba mungu human cloning ifanyike uyu mtu arudi tena kwenye soka maana umri unamuacha Dah!Jana naangalia mpira mim binafsi namkubari messi, wakati wa kupga faulo goal la kwanza jamaa nilie kaa naye akasema anapata, nikamwambia akikosa bhat mbya.. Mara vuu kitu!
wakati ukuta.
Ndo muache kuvuta sasa, mmekaa kusfia sfia maea freekick mara penalt utafikir mazombie,hana jipya atabaki wa 2 kwa sasa,ila muda wake kutamba,cr7 kamuachia ligi kabaki alone hata yeye mwnywe kasema kammissBangi bila sigara kali madhara yake ndyo kama haya
Panenka free kickHuyu kiumbe LM10 bora apewe penalty kuliko free kick .anatutia aibu sisi binadamu wa kawaida.![]()
Iyo 2-1 imetoka wapi mbn mm niliona 2-0?Barca 2-1 Espanyol FT
King kapiga zote 2, one freekick![]()
Hahah obviousNinadhani kuna haja FIFA na UEFA wakaandaa tuzo maalumu kwa ajili ya Messi
Kumshukuru kwa kucheza mpira DUNIANI![]()
![]()
Tuzo ya heshima ya mchezaji bora wa muda wote (GOAT)
Iundwe tume ya kusimamia heshima ya Messi ikitokea kafananishwa na binadamu yoyote ichukuliwe sheria kali
Madactor wachukue mbegu za Messi wazifanyie upandikizaji kwa wanawake ili akina Messi wengne wazaliwe![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Panenka free kick
Huyu dogo ata tetesi tu za kuja pale huwa hazinifurahishi, sijui wao wamelenga vitu gani haswa ila ni bora wakamuamini ata MunirRushford munamuonaje wakuu! Je anatufaa?
😂😂😂😂 DaahHuyu kiumbe LM10 bora apewe penalty kuliko free kick .anatutia aibu sisi binadamu wa kawaida.😎😎😎🙌🏾🙌🏾🙌🏾