Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Duuh! Jota kawaumiza tenaJamani hawa ndio wapinzani wetu keshokutwa
Messi anabidi apige kazi tumshukuru sbe ole waoView attachment 1061487
Sent by anonymous user
Hatimae 2-2Manyambizi ni hatari wakipata mpira wao wanawaza kwenda kufunga tu na mashambilizi yao ni hatari
Manyambizi ni hatari wakipata mpira wao wanawaza kwenda kufunga tu na mashambilizi yao ni hatari
Hatimae 2-2
Tofauti na magoli mawili tuliyofunga hakuna kingine unaweza kuwazungumzia washambuliaji wetu wamefanya, kinatakiwa kufanyika kitu hapa
Hii combination ya Lenglet na Umtiti Bado haijabamba. Tunakoswa hatari tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshallah Mungu abariki mkuu ila mabadiliko yanatakiwa ili kufikia ndoto zetuVijana wasituangusheee...
We have messi
We have Valverde
.
.
.
Tunapindua
Last time tuliwapiga 5-1
Sent by anonymous user
Ukuta wa biscuit leo huu, ona Chikweeze anavyowapa tabu