FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Raha ya barcelona ni kumtazama MESSI tu, anauchezea mpira atakavyo adi raha jamani, siku akistaafu huenda na mimi nikaacha kutazama mpira ndugu zanguni....wachezaji wengi wamepita, akina Diego Armando, Pele, Redondo, Alfredo de stefano, Gaucho, zidane, de lima, Batistuta n.k but sijaona wakumfikia Messi...

Barcelona nothing without Lionel Messi, says Arsenal boss Arsene Wenger....huyu mzee anajuwa mpira, yani hakukosea kabisa.

PNC
Messi ameweka record ya vizazi vyote ...inapaswa aandikiwe kitabu ili vizazi vijavyo vipate kumsoma.

He's a God of football..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikifika tatu toa Suarez weka Prince, toa Arthur weka Coutinho, toa vidal weka malcom.

Watu wapumzike, hii Laliga tumeshachukua, we have unfinished business in the champions league. Hatutakiwi kukubali injuries!

- KANA -
Mkuu kwa haraka haraka msimu huu tunaeza pita makombe yote matatu ..yani Copa De Larey, La Liga, na Uefa..

Uwezo uo tunao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1552886656561.png

Messi kamzidi Xavi kwa kushinda mechi nyingi zaidi akiwa na Barca
 
Nimekaa muda wote nasikiliza kipindi cha michezo nisikie wachambuzi watazungumziaje lile tamasha alilofanya Messi jana usiku lakini nimejikuta napata hasira baada ya mchambuzi kuitia kapuni hiyo habari kwa sababu dhaifu aliyotoa, eti Messi na Ronaldo wamejiweka katika ulimwengu wa kipekee hivyo Messi kufanya makubwa jana ni swala la kawaida hivyo wakaruka hiyo taarifa na kuendelea na taarifa nyingine
 
Haha goza chuma? Habari za king wengi hawazungumzii.. Kumbe na wewe umeliona hili
Nimekaa muda wote nasikiliza kipindi cha michezo nisikie wachambuzi watazungumziaje lile tamasha alilofanya Messi jana usiku lakini nimejikuta napata hasira baada ya mchambuzi kuitia kapuni hiyo habari kwa sababu dhaifu aliyotoa, eti Messi na Ronaldo wamejiweka katika ulimwengu wa kipekee hivyo Messi kufanya makubwa jana ni swala la kawaida hivyo wakaruka hiyo taarifa na kuendelea na taarifa nyingine

Sent using Unknown device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom