FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Watu bwana ni wajinga man city kamlisha mtu goli 7 ndio habari ya mjini ,hao Atletico ni mapoyoyo tunawajua kuanzia dakika ya kwanza wana defend na hawawezi kuingia ndani ya 18 what do you expect?acha Ronaldo ajipigie vibonde wenzake ila akitoka akaombe sana kanisani tusikutane na Barcelona hadi kocha wake Maximilliano Allegri analitambua hilo

This year is OURS ,yaani UEFA kiulaini...
 
Wewe cheza michuano yako(la Liga) huku ni level nyingine na wachezaji wengine jiulize lini uliwatoa atletico champions league, michuano hii sio ya kupiga pasi ni mahesabu makali aliweza guardiola master kuwaweka mjini mtasubiri sana ushindwe kumfunga Lyon away uombe kukutana na juve
 
Najua unatania mara ya mwisho ku win UEFA ni 2015 under Luis Enrique kama ulikua haujui no one priority this year ni UEFA ,na kama ulikua haujui tena nakuhabarisha Laliga ndio league bora Europe mwaka wa 10 mfululizo ,na kama unadhani tunatania karibu jioni Camp Nou uone wanaume tunavyojilia chakula chetu
 
Kumfunga Lyon sio habari,nakukumbusha tu usifananishe schalke 04 na atletico, atletico akifungwa champions league ni habari,sio schalke 04 , jiulize ukikutana na atletico UCL huwa anakufanyia nini , Team yako ni local Champions, hiyo league unayosema bora ni kwa Mtazamo wako ndio maana mwaka jana ukatolewa na mtu wa tatu Italy,nakukumbusha hii ni UCL hatua yako kutoka unaijua vizuri robo hautoboi hapo
 
Your avatar tells it all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We colour football ,jinsi ulivyo local unaichukulia kama Barca team ndogo ,kwani hao AT umeanza kuwajua lini na tumekutana mara ngapi hiko hakiwezi kuwa kipimo cha kuipimia great team in Europe
 
Sawa mzee baba Lyon mtamtoa baada ya hapo hatua yako ya kutolewa hata kwa nguvu itakuwa imefika. Kila la heri sitapenda kuona ligi bora kwa upande wako ikipeleka robo Team 1 ,wakati sisi Epl tunavusha team 4
 
Kumfunga Lyon sio habari,nakukumbusha tu usifananishe schalke 04 na atletico, atletico akifungwa champions league ni habari,sio schalke 04 , jiulize ukikutana na atletico UCL huwa anakufanyia nini , Team yako ni local Champions, hiyo league unayosema bora ni kwa Mtazamo wako ndio maana mwaka jana ukatolewa na mtu wa tatu Italy,nakukumbusha hii ni UCL hatua yako kutoka unaijua vizuri robo hautoboi hapo
Barca alichukua uefa mbele ya juve ile iliyokua bora (pirlo, pogba, Vidal, dyabala, higuain, mandzukic,bufon,khedira)

Na ule mwaka barca alibepa ndoo tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mzee baba Lyon mtamtoa baada ya hapo hatua yako ya kutolewa hata kwa nguvu itakuwa imefika. Kila la heri sitapenda kuona ligi bora kwa upande wako ikipeleka robo Team 1 ,wakati sisi Epl tunavusha team 4
UEFA ni letu mwaka huu nenda ukawatangazie mashabiki wa kukodi wa Juventus wenzio
 
Alikua hajafika mjini kipindi hicho achana nae ,anasahau Juventus Messi mwaka jana aliwaramba hatrick ,
unafunga hatrick kwenye group stages huo ni ufujaji wa nguvu angefunga mechi ya roma wakaenda semi Final, Messi ajifunze kwa mwenzake kufunga mechi zinazovusha Team na ninawaambia kwenye soka la ulaya barca ni Team ndogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom