Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
King naomba leo ufanye tu maajabu hakuna namna nyingine, uzime hizi kelele huku mtaani
Sent using Unknown device
Sent using Unknown device
Lineups
Maoni yenu wakuuView attachment 1045045View attachment 1045047
Sent using Jamii Forums mobile app
We hii charter uliyoweka kwenye Avatar sibishani na wewe usije ukaning'oa meno bure bila ganziunafunga hatrick kwenye group stages huo ni ufujaji wa nguvu angefunga mechi ya roma wakaenda semi Final, Messi ajifunze kwa mwenzake kufunga mechi zinazovusha Team na ninawaambia kwenye soka la ulaya barca ni Team ndogo