FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wakuu kwa sasa siifaamu Sana Barca ingawa Mimi ni fan wa Catalonia hivyo naomba unifahamishe vizuri squad inayotangaza vita kwenye kila gemu tunayocheza.

Ukiachana na King Messi, Suarez, Dembele, Rakitic, Arthur... kwenye first XI kuna nani wengine tena? Substitution ya Barça kuna nani na nani..

Mimi ni fan sugu wa Catalonia kitambo sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...........................Suarez

Dembele.......................................Messi

.......Arthur.............................rakitic

.........................Busquet
Alba.....................................semedo/Roberto
.......Umtiti/linglet.............pique

.....................Ter Stegen

sub;
vidal
cillessen
coutinho
boateng
alena
malcom

Sent using Unknown device
 
Guys dembele ana injury haijulikani kama atacheza match ya Lyon

Sent using Jamii Forums mobile app
Official: Barcelona's medical services have confirmed that after tests Ousmane Dembéle has a slight hamstring strain in his left leg. How the injury develops will decide whether he is available for the game against Lyon on Wednesday in the last 16 of the Champions League.

hasije kuwa injury prone tu huyu dogo
 
jamani hivo coutihno nini nae kinamsumbua jamaa kapoteza muelekeo kabisa

Yule hamna kitu, huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia wakati kila game hatuoni anachokifanya...bora auzwe tu, hamna namna
 
...........................Suarez

Dembele.......................................Messi

.......Arthur.............................rakitic

.........................Busquet
Alba.....................................semedo/Roberto
.......Umtiti/linglet.............pique

.....................Ter Stegen

sub;
vidal
cillessen
coutinho
boateng
alena
malcom

Sent using Unknown device
Sasa kikosi kama hiki tuna haja gani ya kukosa La Liga msimu huu..?!

Hata uefa naona kabisa tutabeba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni majibu mepesi tu ya Rais ila kiuhalisia Neymar akiwa Barca ni mzuri zaidi kuliko wing yoyote ile kushoto ktk ulimwengu wa soka.

Neymar pale Barca mpira ulimkubali haswa. Dembele ni mzuri ila kwa wing ya kulia na sio kushoto.
mzee acha mapenzi binafsi.

twende qa takwimu. ivi unajua dembele ndani ya msimu wake wa kwanza kafanya mambo makubwa(magoli na asist) kuliko naymar msimu wake wa kwanza???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom