Sasa Mkuu unatazama msimu wa kwanza, vipi kuhusu Suarez msimu wake wa kwanza? Ukizungumzia left wing kwa timu kama Barca ukaweka Dembele na Neymar huwezi ukasema Dembele yupo vyema.mzee acha mapenzi binafsi.
twende qa takwimu. ivi unajua dembele ndani ya msimu wake wa kwanza kafanya mambo makubwa(magoli na asist) kuliko naymar msimu wake wa kwanza???
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama Messi kipindi akiwa majeruhi kisha tazama Neymar alivyokuwa akiokoa jahazi, aliwahi kusaidia timu ikailaza Madrid 4 kama sio 3 pale Bernabeu.
Kumbuka matokeo ya Barca na PSG 6-1, kumbuka Game ya Barca na Bayern n.k Neymar ni mwepesi sana na ni mzuri ktk ufungaji, ata kama beki zikajipanga kwa namna gani anaweza akaamua alazimishe apite hapohapo kama Messi, hii ni tofauti Dembele.
Kwa kumalizia ni kuwa, hivi unadhani klabu zote hizo ulaya kutangaza Dau kubwa kwa Neymar unadhani wao hawana akili, sisi tunaufahamu mpira kuliko Guardiola, Perez n.k?
Wewe sio fan bana, ungekua fan sugu ungeelewa hata vitu vidogo.