FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Walichokifanya Ajax ni alert kwa Barcelona na nina uhakika hali itakua mbaya sana kwa Monaco!

Mtoto atapewa kipigo cha mtu mzima maana watafunguka kama wenzao kutafuta goli.

- KANA -
 
Watoto wetu leo ndio siku ya kuonyesha umwamba... Debut zakutosha
IMG_20190306_204204.jpeg


Sent using Unknown device
 
Hii VAR itakuja aanzisha 3rd world war-PSG nje. Barca will have to be careful na hii kitu
 
Hizi comeback wanazofanya mi zinanitisha mana Kama wametiwa Moto kila timu inataka kupindua matokeo. Tukienda kichwa kichwa tutaumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom