Verane atoke jealous tu coz ni WC winner
Asensio atoke coz wataoverlap
Pogba anunuliwe rm ndio anaona anaweza cheza nae
Kocha awe klopp au yule wa spar
Wakitimiza haya anasema ataenda
Sent using Unknown device
Verane atoke jealous tu coz ni WC winner
Asensio atoke coz wataoverlap
Pogba anunuliwe rm ndio anaona anaweza cheza nae
Kocha awe klopp au yule wa spar
Wakitimiza haya anasema ataenda
Sent using Unknown device
hahahahaha mkuu Vidal sio poa katusaidia sana na kaingia muda muafakaKuna watoto wa Bernabeu watakua wakisikia jina Arturo Vidal wanazimia.
Katili, roho mbaya, toto tundu!
- KANA -
Alivyoingia kafanya mazishi sana pande za madrid 😂😂😂😂 watoto walikuwa hawatembei🙌🙌Kuna watoto wa Bernabeu watakua wakisikia jina Arturo Vidal wanazimia.
Katili, roho mbaya, toto tundu!
- KANA -
😀😀😀hii wiki madrid hapumui hadi huku tunamshughulikiaView attachment 1035633
Sent using Jamii Forums mobile app
*footballUnajiita shabiki wa mpira alafu hushabikii Barca utakua unatania......
Hongereni kwa ushindi wajuaji wote wa soccer humu ndani naona ubingwa huu hapa