GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,722
Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game,Nimekuja aiseee. Hongera Mtani.
Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game,Nimekuja aiseee. Hongera Mtani.
ni kweli na mimi kutoka ktk chombo cha habari cha koromije nimesikia piaNaskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti!
Mr bean kaanza lini kucheza mpira?? jamaa basi ni kiraka wa vipaji
Hahaha waambie mkuuUnajiita shabiki wa mpira alafu hushabikii Barca utakua unatania......
Hongereni kwa ushindi wajuaji wote wa soccer humu ndani naona ubingwa huu hapa
Hahah ndio hivyo mkuu..Hahaha waambie mkuu
Hii kauli huwa naitumia sana nikiwa na jamaa zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakiaHongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game,
Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa??Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakia
Huku NAMTUMBO hakuna. 🙈Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa??
Shauri zako...Huku NAMTUMBO hakuna. 🙈
Hahaaa. Babu huyo ndio chanzo.
Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti!