Mnapigwa ugenini mnamalizia nyumbani!!
IPO siku itakuwa kinyume wakuu
Halafu ile team sio ya mchezo kiivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha tu mzee.Kumbe mkuu wetu Malcom Lumumba ni mshabiki wa Barca?
hmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
Anajua maana yeye ana jicho la tatu! Macho yake ni kama Tenga kila upande anaonahmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309
Nawahurumia, msimu huu wanaweza kula vipigo vinne kutoka kwetu!Madrid kajichanganya huko View attachment 1010533
Mfalme anachojua yeye ni mpira tu mpaka kuna muda nawazaga Hawa vijana wa kileo kwanini hawamwangalii hata clip zake ili kujifunza hata kufunga one on onehmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309
Daah wanawakati Mgumu sana Hawa lakini hakuna namna ningependa yule jamaa wao angekuwepo Bwana RonaldoNawahurumia, msimu huu wanaweza kula vipigo vinne kutoka kwetu!
- KANA -
hmmmmmm! huyu mfalme sijua ataondoka madarakani lini ili wajukuu zake wapate kurithi madaraka kwa dhumuni la kuonja keki ya taifa.
halafu huyu jamaa huwa anajuaje kama mpira nikiuweka sehemu fulani basi mwenzangu atapita.
View attachment 1010309
Madrid kajichanganya huko View attachment 1010533
Hahaha acha tu mzee.
Nimeona tumemsaini mtu wa kuitwa Todibo na kapewa jezi namba 6, anaemfaham atupatie details!
- KANA -
Todibo ni beki wa kati huyu na itakuwa back up ya baba shakira. Amesainiwa kutoka klabu ya ufaransa alimaarufu kama "Toulouse". Ilikuwa aje Mwezi July mosi 2019. Baada ya kuona amesaini mkataba na Barca kama free agent, Toulouse hawakufurahia maana alikataa kuongeza mkataba nao. Ili kumkomoa walimrudisha timu "B" (ya watoto) kwa muda wote uliokuwa umebakia (January-July 2019), Barca wakaona kiwango chake kitashuka hivyo wakaamua aje January hii...Kuna scout moja imefanyika brazil, barca b wamesaini dogo 19 kama ST...
Sasa na huyu nae ni mbrazil naona anachukua namba ya Suarez! Huyu sijamjua kabisa