Nimekosa match nzuriBarcelona ukiwapiga nne first leg, wao second leg wanakutandika tisa therefore ni wewe ndio utaamua upigwe ngapi camp nou baada ya matokeo ya kwanza home kwako. They boss that ball.
Nimeenjoy sana smooth stream, smooth soccer and smooth win.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya matokeo yamenikumbusha yale ya PSGThe Barcelona's secret we are so reactive especially Camp Nou ,from dk ya kwanza nilikua naiona pace ya S .Roberto at al ile ni mentality ya ushindi ,ogopa tunapohitaji ushindi
Ramontada inaitwa ile na mzee mwenyewe wa Golazo katupia goli moja(S Roberto)
Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle
Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
hahahaaaaaaaMi mwenyewe nina bad feeling kuhusu hii mechi, yaani inaniambia 4-2 sijui kwa nini!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sevilla anakufa goli nyingi sana pale camp nou next week
Kwa kweli treble this yr itakua poa sana....ON this showing I don't think kama kuna kombe mwaka huu ambalo Barca atakosa-utafikiri uko kwenye playstation- Coutinho today lived up to his price tag-Asante Messi kwa jitahada zako za kumfanya Coutinho arudishe confidence yake kwa kuumpa penalt.Kuna lile goal ulipigwa mkeka wa nguvu Mr nusura avunje screen
Amen!!!"Ogopa sana barcelona akiwa anahitaji matokeo" rip tito vilanova
Yeah, hiyo "get the ball pass the ball" kiulaini waweza sema "mpe yule, mluke yule"...very entertaining football....Arthur Mello improves so brilliantly,anaacha back passing na ku focus high on the pitch (naiona image ya Xavi) ,so it's about penetration balls to hapa na jicho kama la eagle
Jamani match ya jana nimeiona UEFA inatua Camp Nou
Boys were so stimulated and motivated to pass balls, Jana the foundation philosophy ya Lamasia Cantera "get the ball pass the ball" nimeiona kwa macho yangu
Vile visigino vilivyopigwa ndani ya box mpaka kulipata goli la Messi haikua poa. It was actual bullying!ON this showing I don't think kama kuna kombe mwaka huu ambalo Barca atakosa-utafikiri uko kwenye playstation- Coutinho today lived up to his price tag-Asante Messi kwa jitahada zako za kumfanya Coutinho arudishe confidence yake kwa kuumpa penalt.Kuna lile goal ulipigwa mkeka wa nguvu Mr nusura avunje screen
It waz a typical kind of massacre indeed...Vile visigino vilivyopigwa ndani ya box mpaka kulipata goli la Messi haikua poa. It was actual bullying!
- KANA -
We ni prophet Mkuu.
Kwangu imejitahidi net ilikuwa poa. King Messi10 angepiga goli 4 leo, bao 2 zilimkataa but poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomba messi asicheze.. Wanajua..
Ila kocha kwanini hasuwe anacheza kwa mentality ya namna hii kila mechi!