Kwa hiyo unataka kusema injury yake ni nasty and nagging kiasi kwamba his career might be done!? This is Scarry.wanasema ana career ending injury-yeye kakomaa on therapy na stem cell placement
Aache masikhara, Murilo na Lenglet watachukua namba, watu waanze kusema Barca haiwapendi blacks!wanasema ana career ending injury-yeye kakomaa on therapy na stem cell placement
Yeri mina mzito banaHuyu kocha wetu mizinguo sana. kwanini alimuuza yeri Mina?? na Denis Suarez kauzwa kwa mkopo arsenal.. ila kasaini mkataba barca..
Dada uliona kule World Cup alivyokipiga lakini??.. uzito si unapungua tuu. so pique si unaona hana mda mrefu??Yeri mina mzito bana
Dada uliona kule World Cup alivyokipiga lakini??.. uzito si unapungua tuu. so pique si unaona hana mda m
Yeri mina sio mbaya lakini mfumo wa Barca ulikuwa unamsumbua-Dada uliona kule World Cup alivyokipiga lakini??.. uzito si unapungua tuu. so pique si unaona hana mda mrefu??
Ka kocha ketu kanajifanya katata sana... Em mungu asaidie tupindue hili tokeo leo.. Daah
Total sportek ndio wapo vizuriau nikomae tu na hawa total sportek
Tumia Tvtap wako poa sema matangazo ndio wanayo kibao.naombeni link mapema...hizi match za copa de ley zinatesa
leo sevilla anakunywa goli 5 anaebisha apinge
No king no party, huyu babu afukuzwe tu hamna namna, inamaana hakujifunza mechi ya LEVANTE tulipigwa goli 2! Second leg tulishinda goli 3 kwa msaada wa Messi. Yani halioni hilo!!!!! Nimetokea kumchukia sana huyu babu
Sijui kwanini tu nina bad feeling about today's match!
Sijawahi kua doubtful namna hii. Eti nahisi inakua 3-1.
Anyway, all the best.
Visca Barca
- KANA -