FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tangu kikongwe pele aseme Messi ana single technic ya kufunga kwa left foot peke yake mwezi uliopita,tayari Messi amefunga goli kama sita hizi kwa mguu wa kulia
Messi..goal .92'
 
Huyu nadhani ana tatizo kubwa na bodi isipoingilia kati mapema timu ataingiza matatizoni, mbali na kumtaka willian kuna tetesi kua anamtaka Giroud(hiki nacho ni ktuko kingine cha usajili).
 
Huyu nadhani ana tatizo kubwa na bodi isipoingilia kati mapema timu ataingiza matatizoni, mbali na kumtaka willian kuna tetesi kua anamtaka Giroud(hiki nacho ni ktuko kingine cha usajili).
Another one
 
Nimeona mahali Boateng ana board ndege sasa hivi kuelekea Barcelona on loan hadi mwisho wa msimu
Duuuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…