Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
King wa mpira ni mmoja tu duniania. King messi
hilo ni tusi. Kama siyo malaya basi ni kile kiungo cha kike.Hivi hili neno hapo lina maana gani?View attachment 972554
"Don’t try to write about him, don’t try to describe him, Just watch him." Guardiola once said about his protege Lionel Messi.
Mpaka sasa sijajua lengo la kumuachia Mina kwa mkopo kwenda evaton. Katika timu ya taifa Mina ameonekana kua na mafanikio kuliko huyu. Hata katika world cup iliyoisha alicheza mechi tatu tu na kila mechi alifunga goli. Akiwa evaton ameshingia zaidi ya mara moja kwenye kikosi bora cha wiki.View attachment 973656
Barcelona sign Murillo on loan from Valencia
Dec 20 2018 - 21:43
Jeison Murillo has made just one appearance for Valencia this season and will spend the rest of the campaign at Barcelona.
Barcelona have signed Jeison Murillo on loan from Valencia until the end of the season.
LaLiga's champions have paid a reported €2million to seal the deal, which includes a €25m option to make the Colombia international's switch permanent.
Barca moved to bolster their defensive ranks after Thomas Vermaelen joined long-term absentee and fellow centre-back Samuel Umtiti on the sidelines.
Belgium defender Vermaelen, who was out of action for six weeks earlier this season due to a hamstring issue, was ruled out for a month with a calf injury on Monday.
Murillo has made just one appearance for Valencia this season.
Mkuu kama ulivotabr, tayar washafanya yaoWenye timu, uyu barca mimi nataka anipe goal mbil tu
Naomba hiz habar mumfikishie messi na dembele
Asante
Mkuu kama ulivotabr, tayar washafanya yao

Wenye timu, uyu barca mimi nataka anipe goal mbil tu
Naomba hiz habar mumfikishie messi na dembele
Asante
Karibu MkuuOy oy....baada ya kua kimya kwa muda am back....
Yeah, naona jana tukamnyoosha mtu 2-0.mambo yetu mazuri sana.