Le Mundo la Spain limeandika kwamba ukifanikiwa kuifunga Barca,unastahili pongezi cause unacheza na watu 12-limedai kwamba Messi anahesabika kama wachezaji wawili
Nilikuwa na mheshimu sana Pele ila kwa kauli ile nimemchukukia sana. Yaani unatia chembe ya shaka ktk ubora wa Mfalme wa mpira duniani??? Unaanzaje kwa mfano!!! "Kenchy type"....
Hata ningekua mimi ndio Pele ningesema hivyo. Watu wanaamini wewe ndio mfalme wa soka, then anatokea bwana mdogo anafanya miujiza ya ajabu uwanjani lazima upate kijiba cha roho!
Mguu wa kushoto wa Messi ni zaidi ya kichwa na miguu yote miwili ya pele!