FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kumbe nawe umeona hiyo. Messi10 alikuwa apate goli but siyo ishu sana kwa kuwa tushachukua pt 3 muhimu. Sevilla akisinzia tu tunarudi zetu juu.Messi alikuwa ana nafasi nyingi za kuscore sema wanambania pasi...dembele anataka yeye tu afunge, hili ndiyo tatizo
Atakuwa anamlipiziza. Messi naye huwa hampi huyu dogo pasi. Kidogo siku hizi anampatiapatia.Messi alikuwa na chansi nyingi za kuscore sema wanambania pasi...dembele anataka yeye tu afunge, hili ndiyo tatizo
Kumbe nawe umeona hiyo. Messi10 alikuwa apate goli but siyo ishu sana kwa kuwa tushachukua pt 3 muhimu. Sevilla akisinzia tu tunarudi zetu juu.
Atakuwa anamlipiziza. Messi naye huwa hampi huyu dogo pasi. Kidogo siku hizi anampatiapatia.
Busquets umri unamtupa mkono.Dembele kwa confidence hii we can unlock any defence in the world-alaafu leo kashirikiana sana na Semedo ambaye anahitaji polishing kidogo katika cutbacks/crosses zake
Dembele speed aliyonayo ni silaha tosha akiongeza na composure kidogo we rule the world
Huyu Busquets ndio simuelewi kabisa akiwa na mpira mguuni utafikiri anaanguka na in slow motion anafanya anavyotaka -Huyu ni dying breed
Engine ya barca hiyo bousquets anachokifanya lazima kizae matundaDembele kwa confidence hii we can unlock any defence in the world-alaafu leo kashirikiana sana na Semedo ambaye anahitaji polishing kidogo katika cutbacks/crosses zake
Dembele speed aliyonayo ni silaha tosha akiongeza na composure kidogo we rule the world
Huyu Busquets ndio simuelewi kabisa akiwa na mpira mguuni utafikiri anaanguka na in slow motion anafanya anavyotaka -Huyu ni dying breed
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu. Confidence ya Dembele ilikuwa 100%.Dembele kwa confidence hii we can unlock any defence in the world-alaafu leo kashirikiana sana na Semedo ambaye anahitaji polishing kidogo katika cutbacks/crosses zake
Dembele speed aliyonayo ni silaha tosha akiongeza na composure kidogo we rule the world
Huyu Busquets ndio simuelewi kabisa akiwa na mpira mguuni utafikiri anaanguka na in slow motion anafanya anavyotaka -Huyu ni dying breed
Kweli Mkuu, umepiga kelele sana kwamba Dembele akicheza winger ya kulia alafu beki ya kulia awepo Semedo lazima moto uwake kama jinsi ilivyokuwa jana. Majeruhi yamesaidia hadi Valverdi akawa amefanya hivyo ktk hizi game 2 zilizopita. "Everything happens for the reason" and "to every cause there is an effects"....Busquets umri unamtupa mkono.
Kuhusu combo la Dembele na Semedo, nimeshaliongelea sana. Nashukuru leo umeliona.
Yale maspidi na overlaping waliyokua wanapiga kule ilikua raha kuangalia.Kweli Mkuu, umepiga kelele sana kwamba Dembele akicheza winger ya kulia alafu beki ya kulia awepo Semedo lazima moto uwake kama jinsi ilivyokuwa jana. Majeruhi yamesaidia hadi Valverdi akawa amefanya hivyo ktk hizi game 2 zilizopita. "Everything happens for the reason" and "to every cause there is an effects"....
Kabisa MkuuYale maspidi na overlaping waliyokua wanapiga kule ilikua raha kuangalia.
Wing zote zilikua active!
Nafikiri hata Vidal atakuwa alifurahia badae maana nilimwona kama hakufurahia kuwa subbed kabla ya mpira kuisha.Substitution za Valverde hua hazimuachi mtu salama!
Final ball ya Semedo bado haijafikia viwangoYale maspidi na overlaping waliyokua wanapiga kule ilikua raha kuangalia.
Wing zote zilikua active!
With time ataimprove, akiweza kupiga zile killer final passes kama Alba basi wapinzani kazi wanayo!Final ball ya Semedo bado haijafikia viwango
With time ataimprove, akiweza kupiga zile killer final passes kama Alba basi wapinzani kazi wanayo!