FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Huo msitari wa mwisho (kurudisha/kupiga pasi nyuma) ndiyo udhaifu mkubwa aliokuwa nao hasa ktk game hii.Mimi naona Semedo contribution yake kule mbele inabidi iongezeke-yuko safety first approach kupita kiasi-J Alba kakabwa sana inabidi Semedo apande sana-but i dont see this-na mipira mingi anatoa pass za nyuma
Anatoa Pasi za nyuma sababu mbele yake kunakuwa hakuna mtu.Messi ndiyo winger wake lakini huwezi mkuta anacheza winger ya kulia, Mara nyingi kiungo wake ni Rakitic naye huyu ni mzito kwenda mbele hasa kupitia wing. Mara nyingi wakipiga na RW akiwa Dembele hizi back pass huwa hazipo. Huwawanapiga zile za kuoverlap.Huo msitari wa mwisho (kurudisha/kupiga pasi nyuma) ndiyo udhaifu mkubwa aliokuwa nao hasa ktk game hii.
Nimekupata vizuri sana Mkuu!!!Anatoa Pasi za nyuma sababu mbele yake kunakuwa hakuna mtu.Messi ndiyo winger wake lakini huwezi mkuta anacheza winger ya kulia, Mara nyingi kiungo wake ni Rakitic naye huyu ni mzito kwenda mbele hasa kupitia wing. Mara nyingi wakipiga na RW akiwa Dembele hizi back pass huwa hazipo. Huwawanapiga zile za kuoverlap.
Al HadadNani mbadala wa Suarez kesho
Ataondoka huyu
Ataondoka huyu
Hapa sijakuelewa mpira ukiwa kati tayari J Alba yuko deep inside enemy territory likewise Semedo has got speed naye inabidi awe mbele anasubiri mpiraAnatoa Pasi za nyuma sababu mbele yake kunakuwa hakuna mtu.Messi ndiyo winger wake lakini huwezi mkuta anacheza winger ya kulia, Mara nyingi kiungo wake ni Rakitic naye huyu ni mzito kwenda mbele hasa kupitia wing. Mara nyingi wakipiga na RW akiwa Dembele hizi back pass huwa hazipo. Huwawanapiga zile za kuoverlap.
Unajua Alba kamuassist sana Messi wakati litakiwa Messi Awe assisted sana na Semedo. Na siyo kwamba Semedo hawezi kushambulia ila Inatokea timu yetu inaegemea sana kushoto. Utakuta Alba ana Coutinho mbele yake, Messi yuko karibu na Suarez. Kama unacheki Mara nyingi Semedo yuko alone kule. Hata akikimbia au akiwa na mpira unakuta hamna mtu anaenda mbele kule.Hapa sijakuelewa mpira ukiwa kati tayari J Alba yuko deep inside enemy territory likewise Semedo has got speed naye inabidi awe mbele anasubiri mpira
Exactly, team yetu iko somehow overcrowded upande wa kushoto.Unajua Alba kamuassist sana Messi wakati litakiwa Messi Awe assisted sana na Semedo. Na siyo kwamba Semedo hawezi kushambulia ila Inatokea timu yetu inaegemea sana kushoto. Utakuta Alba ana Coutinho mbele yake, Messi yuko karibu na Suarez. Kama unacheki Mara nyingi Semedo yuko alone kule. Hata akikimbia au akiwa na mpira unakuta hamna mtu anaenda mbele kule.
what a superfine analysis?? Iko Bambaga Mkuu.Exactly, team yetu iko somehow overcrowded upande wa kushoto.
Hata Messi siku hizi hachezi kulia tena, tangu Iniesta aondoke Messi amekua akizama deep in the midfield na sometimes utamkuta upande wa kushoto.
Huko huko utakuta yuko Alba, yuko Coutinho pia. Ile overlaping inakua inamruhusu Alba kuingia deep in the enemy territorry, akijua kuna watu wa kumcover!
Meanwhile, Semedo anaweza kuddrible peke yake mpaka kwenye kibendera na akakosa mtu wa kumpasia. Wakati huo anajua hana cover up ya nguvu huko alikotoka, ndio maana anaamua kuplay it safe.
Semedo hua anatakata zaidi akiwa na Dembele, atleast hua wanapeana through balls na speed zao zinamatch.
Najua Jackline 1 anatamani kuona Semedo akiunda combo kama la Dani Alves, jamaa anao uwezo ila bado hana partner. Messi amehamia kati!
E.Abidal ktk ubora wake...Ningependa sana hawa madogo (De Light&De Jong) waje kwa namna yoyote ile. View attachment 947776
Sure, tunategemea sana upande wa kushoto kupita kiasi.Observation yangu naona match nyingi za Barca tunashinda lakini kwa jasho-endapo tuta utalise na upande wa kulia we would be flying high
Uyu Sergio busqet anavyozeeka ndio anazid kuwa mtamu
Hasa hasa Man utd nawataka sana.Mtoano natamani tukutane na timu moja ya uingereza tuibutue vizuri. Nitafurahi sana