Wachezaji wote nimeona walikua katika kiwango bora kabisa labda Suarez kidogo sijamuelewa
Vidal kaupiga mwingi mnoooo, kurejea kwa Umtiti naona kule nyuma mazoea ya wapinzani yamepungua sasa
Sifa nyingi ziende kwa kamati ya ulinzi ya ATM maana walitubana sana