Bora hata mess Suarez amefanya nini zaid ya kuruka ruka. Sijui kwa nini kocha alimuuza beki kama Y. Mila na kuacha akina Lenglet, kiungo mzur kama Denis Suarez anaozea bench kweli?
Mkuu mbona upo shoto sana!!! Umeshaambiwa Barca akikutana big team huwa anazinyanyasa kama vile real madrid, atltico, valencia na club kubwa za uingereza..
Kabisa Mkuu.
Ulikuwa uchochoro jana.
Semedo ni bonge la full back, sjui kwanini haaminiwi. Na uhakika kama angepata muda mwingi wa kucheza angefanya vizuri kupita alivyo sasa.