FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huko kunamfaa Zaidi,mfumo wa Barca kashindwa kuusoma
 
Leo mimi namtazama Malcolm tu nione/nihakikishe kama ni kweli coach hakustahili kumuweka bench
Hii game malcom aoneshe potential amprove wrong kocha, golden chance kwake nje ya apo ata support ya mashabik ataikosa
 
Du hako ka buy out kauongo kishenzi.
 
Nasikia kadembele kamezingua wamekapa adhabu hakachezi. Coutinho naye atakuwa nje wiki 2-3
 
Kitendo cha Messi kupona tu, hata mabeki nao sasa wanataka Messi ndio akabe!

Tunafungwa magoli ya kipuuzi kabisa kama watoto wadogo!

Anyway, this is Barca, acha nihifadhi maneno!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…