FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kwa kikosi kile ulitegemea mpira mzuri hapa kocha aliweka tim b kupima uwezo wao kwa iyo kapata jawabu wakija camp nou watakula nyingi
Ulicheki lakini mpira mbovu waliocheza? kikosi kilikuwa na Dembele, Dennis suarez, Munir, Alena, Vidal, malcom, Semedo. Ni wachezaji watatu tu ndiyo wageni kabisa. Hatungetegemea wacheze kama kikosi A lakini siyo ndiyo wacheze ovyoovyo kama walivyofanya.
 
101904110.jpg
101904375.jpg

king ameanza kufanya mazoezi jana
 
Jumapili ilkuwa tamu sana, na utamu huu ulizidi baada ya Luis Suarez kuondoka na mpira, maana Perez alishawahi sema asengemnunua Suarez coz alikuwa na uzito mkubwa kipindi anasajiliwa kuja Barcelona. Lakini toka afike pale Camp Nou amekuwa mwiba mkali kwa Madrid, amekuwa akiwapindua anavyotaka.


Nakumbuka kipindi cha nyuma Suarez aliongea kwenye vyombo vya habari kuwa aliwakataa Real Madrid sababu alikuwa mpenzi wa Barcelona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom