FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

With all due respect Lupetegue asifukuzwe
Naomba Mungu baba kila ridhiki tumeumbiwa inakua kwa binadamu mwenzako ;lupetegue is a perfect match tuachie ili mwezi match tuwapige goli 8
Mkuu wa mamlaka zote sema aminaaaaa
 
Well said Mkuu. King ameshasema mwaka huu treble kama zote hivi ndani ya nyumba.
 
Kabisa, hatosahau ktk maisha yake yote...
 
Aisee kiwango cha Jordi Alba duniani sasa hivi ni namba moja nadhani Lucho anajilaimu kumuacha Spain national team na hii match lazima aliiangalia tu
Jordi Alba is the best ana attack ,piga crosses (sharp left flank) ana drible confidently,anaingia hadi katikati na ku shoot kama namba 9 vile mbaya zaid ana perform basic roles zake za ku defend ,take on na interceptions za mipira na yuko vizuri kwenye aerial duels -mipira ya juu ya crosses anaiokoa yote daaaah what a player
 
Ni moto wa kuotea mita 100 kwa sasa!!!
 
Jamaa ana "talent/talanta" kama siyo "gifted". Yaani flexibility aliyonayo siyo ya dunia hii. Halafu yuko "very calm"....
Arthur Mello ana pass accuracy ya 96% anamkimbilia Busquets na Xavi
He is adapting so quickly bado tu kupiga zile penetrating balls na ku advance foward kama.alikua anafanya S Roberto vile sexond half na kuwavuruga pale katikati
 
Huyo ndio fighter aliyebaki-sasa vipi unakula matapishi yako????
Leo kafanya poa japo kuna muda alitaka kuharibu. Hata hivyo hatuwezi mjudge mtu kwa kufanya vizuri mechi moja huku karibu zote 9 hajafanya poa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…