FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni kweli mkuu mwanzoni alikuwa mzito flani hivi lkn saizi yupo kwenye njia
 
[emoji16][emoji16] Amber ruty....

Pale Semedo alicheza akili sana
 
Safi sana...nasema hivi safi sanaaa....NUMBISA my dada mwanzo wewe nilijuwa ni MAN kumbe ni KE... aise porrrrrreni sanaa..next game itakuwa March na king inshaalah atakuwepo mammae...
 
Pamoja na hayo Arthur Melo ni machine nyingine
Siku hizi Xavi anavaa jezi ya Arthur Melo anaingia kucheza. Anadhani hatujamshtukia!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo sio wa kawaida, anauchukua huku anautupa kule. Anafinya hapa, anatekenya pale.

Akina Modric wamebaki kutoa ulimi kama soksi!
 
Watalia na Kusaga meno huko huko kwao Mkuu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…