Ha ha Suarez ameniumbua leo
Pamoja ya ukweli kwamba mimi nilikua wa mwisho kumlaumu makosa yake
But all in all my theory ya kumchezesha S .Riberto na Semedo kwa muda mmoja imelipa ni kwamba upande ambao Madrid waliuita weak side (right back ) kumezibwa kabisa ...na Semedo na kijana S.Roberto anafanya yake mbele ana assist,drible nankupiga crosses katikati
Artulo Vidal.....goal.....
My credit kwa S Roberto..ha ha ha kawavuruga sana katikati na mipira yake ya assist na penetration .
This is Barca kila pass ya mchezaji ina macho na brains
My credit kwa S Roberto..ha ha ha kawavuruga sana katikati na mipira yake ya assist na penetration .
This is Barca kila pass ya mchezaji ina macho na brains