Alikuwa anakosamtu wa kulink naye. Ila wakiwa na Dembele wanaelewana sana.Semedo yupo vizuri sana pia angekua na maujuzi zaidi ya kutamba kwenye zone ya wapinzani eidha kufunga au kuassist angetisha zaidi
Sawa mkuu GUI1Hapana mkuu usifanye hvyo, tumuombee tu hii team inahitaji support yetu
Pamoja mkuuSawa mkuu GUI1
Nikweli mkuu ila wajitahidi wafanye jambo watatisha zaidiAlikuwa anakosamtu wa kulink naye. Ila wakiwa na Dembele wanaelewana sana.
Maandalizi yatafanyika mkuuHii team itapata tabu sana siku Messi kastaafu, nadhan itakuwa weak kuliko hata Madorido CF
Ni kweli kabisa mkuu bila Mess hakuna kitu pale na bora waanze kufanya michakato mapema ya kujenga timu bila kumtegemea jamaaHii team itapata tabu sana siku Messi kastaafu, nadhan itakuwa weak kuliko hata Madorido CF
Kasahau kabisa magoli yanafungwa vipi anakumbuka ya penalt tuSuarez amekuwa hana shabaha na goli siku hizi
Not bad, dua zetu zilikua ni kupata ushindi hatimae tumefanikiwa sasa macho yetu ni hatima ya Mess na AL Classico
Kazi nzuri sanaaa anafanyaStergen anajituma balaa.