La liga Champion contenders.
1. Atletico Madrid
2. Sevilla.
Huu ni msimu wa El chollo na Atletico Madrid yake baada ya real Madrid na Barcelona kushuka viwango. Laliga sasa si ya timu mbili tena ni zaidi ya 4. Yoyote yule kati ya hizi nne anaweza kunyanyua kwapa. Nimefurahia hii kitu kwa kweli. Zile falme mbili za Catalona na Madrid zinaanguka.
Atletico Madrid kwa miaka ya karibuni ilikuwa na timu nzuri lakini ilishindwa kushindana na Real na Barca kwa sababu ya ubora wa hivyo vilabu viwili.
Zama za kina barca na Madrid unaenda ikifika mwisho.