Hii ndio Barca tunayoitaka-total domination utafikiri soccer linachezwa kwenye playstation- hapa hata ukifungwa carpet football inayotembea is worth the entrance money.Semedo is playing his part today kaa huko huko mbele mambo ya kulinda goal waachie Real madrid
Messi naye anatatizo. Akiwa kama winger wa kulia anakaa sana kati na kushoto kuvizia pass za Alba. Hii inaua kabisa winger yetu ya kulia. Mbaya zaidi Rakitic hajuagi habari ya kuoverlap. Wangekuwa wanaoverlap na Semedo. Rafinha anajua hili na ndiyo maana huwa anafunga sana sema karibuni hachezi sana.
Hii timu haitumii wachezaji wake kwa potential zao. Haivutii hata.