1. Uyu Arthur namuona Xavi kabisa mana ni box to box midfielder kama Xavi zile kampa kampa tena anazijua balaa. Ubora wake ni mzuri mno kwenye pasi fupi za kampa kampa tena ila mapungufu yake ni sio mzuri kwenye penetration pass na pass ndefu.
2. Beki za kati Lenglet na Pique mh ngoja tusubiri muda utaongea
3. Kipa tunae mzuri mno uyu Van Ter Stegen
4. Coutinho anaanza vizuri ila kipindi cha pili jana alikua anazingua tu.