Hebu fikiria Semedo apige sprints kwenda up front, huku kushoto pia Jordi Alba apandishe mizuka mpaka kwenye kibendera kule juu, alafu tupigwe counter attack nyuma kukiwa na baba Shakira na Langlet pekee!

Lakini mara nyingi akiwa kwenye eneo la kuattack huwa anapiga back pass si leo tu. Anakuwa tayari yuko kwenye eneo la adui lakini naonaga kama hana mbinu ya kupita na kupiga cross au cutback kama wakina Alba na Marcelo.
Messi anahasira. Mecgi mbili goli 5. Hii hataua ya makundi atamaliza na goli nyingi sana. Hesabu za uwiano zinasema kwa mechi sita atamaliza na goli 15.