Ujio wangu sio wa bure hakika mimi nawaambia... yamkini mtakuja kuamini mara baada ya watoto kuchezea koki nyumbani kwao london
This is Barca,kwa ufupi matokeo ya match tatu zilizopita yasiwatishe , sio technical reason ,ilikua ni machaguo mabaya tu ya kocha na velverde analijua hilo sana tu
Our top top priority and secret is UEFA this year
namaliza hivi ,Totenham watapigwa goli tatu bila ndimbani kwao Totenham 0 barcelona 3
We are busy for something barca Forca visca el barca Mes que un club