Tatizo liko mbele,we are not getting goals,how do we expect the defence to hold out-suarez is fine but Dembele needs to up the stakes-he needs to spearhead the attack
Dembele kwa speed yake alitakiwa awe ndio silaha kubwa ya counter attack-tatizo anakimbilia kati kwenye lot of bodies.
Yaani tunaliwa kirahisi na betting shops
Wameua lamasia wanaua na timu kwa sababu ya makocha wetu sio wazur mfano ni huyo kocha anabebwa na tym hana uwezo wowote makocha bora duniani ni klop gudiola na pochetino mm nawakubali we jiulize enrique baaada ya kutoka barca club ipi ilimuhitaji? Kocha anamueka benchi lapulga kisa uefa ?! Hana ubunifu wowote wowote tumekuwa kama man u daaaaaaah!? Ni hatareee kumbukeni mess kwa kasinalioifanya leo halafu na umri unaenda.Zidane mpaka leo yupo benchi tuuuuuu