Kwa mtazamo wangu, kocha hajawahi kujiamini na kazi yake, hii hupelekea kuto waamini wachezaji wake.
Pia hajui combination gani inaweza fanya kazi. Mfano leo alipo mpumzisha Suarez lidhani angejaribu pale mbele kuwa Dembele, Messi then Coutinho.
Kumchezesha Coutinho nyuma ya mtu mbele kuta tu cost sana, Coutinho sio mkabaji mzuri kwanza.
Kikosi anacho kiamini yeye hakiwezi cheza michuano yote.