FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu cr akupi usingizi ?
Sifa ya mwnaume kusaka maisha popote
Ndo maana hata wewe ulitoka kwa wazazi
Cr7 kaaso toka mbali ndio nacho mkubali


Hivi King huwa anawafanya nini hawa mabeki!! Maana boateng nae alianguka hivyo hivyo au huwa anawapiga k.o! 😀😀
 
Messi kafanya makusudi kumpa penati Suarez. Timu nzima inatambua Suarez hayuko sawa, wanajaribu kumsuport arudi kwenye ubora.

But sadly, his glory days are gone!

- KANA -
Na isitoshe king alikuwa na magoli mawili before, na akamwachia apige...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…