FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Official compliant Barcelona wata file ule uwanja una quality ya chini mno..nadhani ndio ilikua tactic ya opponent(uwanja mbovu),kuna waliokuja na heading eti VAR yaiokoa Barcelona huku wakiwa wamesahau Var hiyo hiyo ndio ilikataa goli la pili la Suarez

Simply jana tulikua tunacheza kwenye bonde la mpunga ,mipira hainyooki ukipiga passes,ikidunda inaenda off direction ,kulikua na danger ya kupata majereha wachezaji cos unaruka then unafikia kwenye korongo etc hadi bookkeeper zilimsumbua grasses
 
Yaani jana idara zote tumecheza chini ya kiwango sana. Madogo walikuja na game plan ya ki-Roma Roma na walifanikiwa kututoa mchezoni hasa kipindi cha pili. Nilitamani pale kati Vidal aingie mapema kidogo kama dk ya 60 hivi huenda pangetulia. Kifupi sub zilipaswa zifanyike mapema sana. Yaani jana tulicheza soka la kuboa kupita......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bila VAR sijui ingekuwaje
Barca ya leo inategemea VAR

E&K
Unazingua wewe kama Gigy money lile goli la pili tulilofunga waka rule out na VAR unajitoa ufahamu haukuliona
With VAR tambua kabisa laliga na Uefa Real Madrid watakua wanalisikia kwenye bomba tu
 
Unazingua wewe kama Gigy money lile goli la pili tulilofunga waka rule out na VAR unajitoa ufahamu haukuliona
With VAR tambua kabisa laliga na Uefa Real Madrid watakua wanalisikia kwenye bomba tu
mimi sina ushabiki na madrid mkuu
Najaribu kuangalia hii vita yenu na mwenzio madrid
Ila jana mlishikwa mkashikika

E&K
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…