FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Yeah! Hilo sipingi Mkuu. Suarez ni dizain ya wachezaji wenye njaa na uwezo kufunga magoli ktk mazingira magumu. Suarez ni kariba ya wachezaji kama Diego Costa. Naamini ataanza kufunga tena mapema muno kushinda msimu uliopita.Umemsahau last season alianza hivi hivi?soon atawa surprise halafu niwapeni tip tu amepungua uzito so wepesi umeongezeka
Lakini mkuu hii ya Suarez kuunderperform haijaanza msimu huu. Ni muendelezo wa form yake ya last season. Jamaa hayupo vile alikuwa misimu mitatu nyuma. Ni wakati wa kusaka striker.Problem:Messi he is not patient akiona mipira haifiki kwake so lazima tu atakuja deep kudanya play making(kama unakumbuka game ya Argentina vs France alicheza fake 9) however hiyo ni moja ya alternative but tusiwe kama Madrid kila siku tunataka mchezaji a deliver nikuulize swali kwa mfano umeambiwa umchague Benzema na Suarez una pick nani?
Huyu ndiye the king bwana..master wa Freekick kuwahi kutokea....yani kwake ni kama anapiga penalt,, yani raha sana 😀😀
timu hii hii iliyotolewa na roma,,,Barca tunakitete sana na game za UefaTeam yetu kuanzia UEFA hadi Laliga sijamuona wakuisimamisha
Rodrigo Moreno niwakui mnacheki Valencia na ATM? mechi ikoje?
Asiee mawazo yako na mm yanaendana hapa, ile match ya jumamosi ilivyo isha nikawa nawaza hivi. Hii itasaidia kufanya Dembele awe comfortable kwenye nafasi hii RWMimi naona Barca impange Messi ile nafasi ya suarez, wing ya kulia akae Dembele na kushoto Coutinho.
Dembele sio mbaya, apate tu muda wa kucheza kila wakati ktk position aliyoizoea walau ataonesha makali yake zaidi.Asiee mawazo yako na mm yanaendana hapa, ile match ya jumamosi ilivyo isha nikawa nawaza hivi. Hii itasaidia kufanya Dembele awe comfortable kwenye nafasi hii RW
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, Suarez ameshuka sanaDembele sio mbaya, apate tu muda wa kucheza kila wakati ktk position aliyoizoea walau ataonesha makali yake zaidi.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Haya tumekusikia, unakingine tena mkuu?Siku messi akihama Barcelona basi team yenu inakuwa ya kawaida sana
Kama wenzenu real madrid
E&K
HahahahaaSiku messi akihama Barcelona basi team yenu inakuwa ya kawaida sana
Kama wenzenu real madrid
E&K