FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahahaha
Kazanaga mwenzio Ney hajui kitu hu2a ana ona manyota tuu.
Ila mi na enjoy ambavyo hajui [emoji23]
Ili uwe unamdanganya leo barca wanacheza kumbe unaingia kwa jirani.looooh hazard usiponfundisha haya maswala ntayafata gugo
 
Ili uwe unamdanganya leo barca wanacheza kumbe unaingia kwa jirani.looooh hazard usiponfundisha haya maswala ntayafata gugo
Hahaha
Namwambia kuna mechi za brazili za usiku hana shda

Ila tukiwa tuna angalizia hom ana maswali kweli hadi nashindwa kuangalia mpira vzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom