FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembele hatakiwi juenda mahali zaidi kocha anatakiwa kumpa muda mwingi wa kucheza na pia mwalimu atumie mfumu wa 433
Mpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
 
Neymar hakuwa na msimu mzuri Barca kwa mara ya kwanza hivyo Dembele anaitaji muda zaidi yeye na Denis
 
Mpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
Umenena vzr, hata huyu Grezman hawezi chochote kwasababu anacheza upande wa Messi
 
Mpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
Dembele yuko vizuri sema kocha hampi nafasi na pia yale majeruhi ya kukaa miezi minne yalimrudisha nyuma na hata alivyorudi kajitahidi sana kwa chance alizopewa
 
Hivi leo Boateng na Robben wapo?
Hawapo, ni majeruhi. Yupo Ribery na David Alaba. Kikosi kamili hicho hapo Mkuu...
IMG_20180501_204304_780.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom