Dembele leo mbona kacheza fresh 2 tena kapandsha timu muda mwingi hajapoteza mipira leo,katoa assist .....denis n m2 wa kucheza namba ya countinho ule upande wa dembele ,yuko peke yake 2 labda acompete na a.vidal mana ata countinho akchezaga kule juu anapwayaga cz ya overlap na messi...mwachen dgo aendelee kuimpruv cz kwa statistics ad saiv ana assists 9 na goli 2 ambapo coutinho ana goli ka 5 na assist (<9)...
Poleni sana Deportivo kwa kushuka daraja at the hand of Barca. You played exceptionally well today.
dembele mzuri inabid avumiliwe hata neymar alivumiliwa kdgDembele namkubali zaidi ya coutinyo
dembele mzuri inabid avumiliwe hata neymar alivumiliwa kdg
amna doa kaka,ubingwa haunogi bila kuwapiga madrid.......ubingwa mara saba ndani ya miaka kumi si mchezo mkuu raha sana kama tuko peke yetu vile kwe ligiHongereni sana blaurigana(sijui ndio mnaitamka hivyo) kwa ubingwa wa laliga msimu huu.
Ila tu ni masikitiko yangu Asensio anakuja kuweka doa kwenye record yenu pale pale camp nou
Alikua wapi wakati mnakula 3 bernabeu?Hongereni sana blaurigana(sijui ndio mnaitamka hivyo) kwa ubingwa wa laliga msimu huu.
Ila tu ni masikitiko yangu Asensio anakuja kuweka doa kwenye record yenu pale pale camp nou
Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.amna doa kaka,ubingwa haunogi bila kuwapiga madrid.......ubingwa mara saba ndani ya miaka kumi si mchezo mkuu raha sana kama tuko peke yetu vile kwe ligi
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.Alikua wapi wakati mnakula 3 bernabeu?
amna doa kaka,ubingwa haunogi bila kuwapiga madrid.......ubingwa mara saba ndani ya miaka kumi si mchezo mkuu raha sana kama tuko peke yetu vile kwe ligi
dah sie hatuna pressure kabisa maana tulishawapa tatu kwao so wakishnda hakuna tabu yoyoteKuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
hahahaaa red lazima mpate aisee lazima ramos afanye mambo yake wa messi, na yule bei wenu waulia lazima atumbuizetena watazamaji kama last timeSi ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
Madridi atakua na pressure ya kutaka kurudisha kisasi cha 3 bilaKuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
Ujinga wa mashabiki wa mpira ni kudhani teem mpizani haitakuwa na uwezo wa kuifunga team aipendayo.Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
madrid na nidhamu wapi na wapi? Mbele ya Barcelona huwa wanatepeta tu kinidhamu Umenena vyema mkuu! Saizi Mashabiki wa Madrid wanajiona wameshafuzu nusu fainali na tyri wamechukua ubingwa!Ujinga wa mashabiki wa mpira ni kudhani teem mpizani haitakuwa na uwezo wa kuifunga team aipendayo.
Aende atletico kama vipi, wapishane na Griezmmanla liga 7 ndan ya miaka 10 si mchezo.....El classico coutinho na denis waanze aisee namuonea huruma dembele sioni future yake ndani ya barca unless abadilike kwa haraka mno ndani ya muda mfupi ujao lasivyo atolewe kwa mkopo kwa timu kama arsenal hivi akaimprove