FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
Basi nyie mtakuwa na "density" badala ya "pressure" kwa kumlinda fundi wa dunia (King Messi10) ili asiongeze magoli na kuchukua kiatu cha dhahabu kwa mara ya 5 dhidi ya mfiziaji wenu.
 
hahahaaa red lazima mpate aisee lazima ramos afanye mambo yake wa messi, na yule bei wenu waulia lazima atumbuizetena watazamaji kama last time
Kweli kabisa maana atakuwa na kazi ya kumzuia King from Lamasia Akademu asiongeze magoli kwa ajili ya kiatu cha dhahabu. Na kama kuna kosa la kiufundi watafanya basi atakabidhiwe mtu wa kumlinda kama mechi iliyopita, walai red kadi itawahusu tu....
 
Kocha inatakiwa awaamini hawa madogo kama Dembele
Denis Suarez kwani hawa ndiyo future ya Barca angalia Madrid anachofanya amewapa nafasi wachezaji wachanga na wamejiamini na wamefit kwenye mfumo wao na sisi tunatakiwa kufanya kama wao tuwape nafasi zaidi wachezaji wachanga kutoka Lamasia
Kweli kabisa Mkuu...
 
Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.

Mmeanza kujitetea sio!!!
 
Jamani mnao taka Grezman aje, niwakumbushe kuwa huyu jama anacheza upande wa kulia ambao Messi ndio upande wake, kwahiyo ni ngumu sana kuwa ataweza kucheza kama anavyocheza sasa. Pia Dembele hapati nafasi kama inavyotakiwa, na akipata nafasi ule upande anabanwa na messi
 
Hongereni sana sana Barca na mafans wake kwa ujumla Hongereni sana.....a

Asante king wetu kuwahi kutokea katika uso wa dunia
Asante mwanafunzi wake Messi/Coutinho.

I'm so happy 😀😀😀😀😀
 
Jamani mnao taka Grezman aje, niwakumbushe kuwa huyu jama anacheza upande wa kulia ambao Messi ndio upande wake, kwahiyo ni ngumu sana kuwa ataweza kucheza kama anavyocheza sasa. Pia Dembele hapati nafasi kama inavyotakiwa, na akipata nafasi ule upande anabanwa na messi
Me sioni ulazma wa kumsajiri Griezman badala yake vijana wangepewa nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom