A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Dogo anajua anachokifanya sema kocha anambaniaga
huyu dogo hazina kubwa ya barca akili inaniambia huyu wakisaidiana na coutinho tutakuwa na kiungo cha hatariAshukururiwe Denis Suarez kaleta mabadiliko
Madrid should give us a guard of honour when their waist bent down![]()
Zidane kawakataza wachezaji wake anasema Barca ndo walianza kuharibu utaratibu huo baada ya kukataa kufanya guaard of honour walipochukua wao kombe
la liga 7 ndan ya miaka 10 si mchezo.....El classico coutinho na denis waanze aisee namuonea huruma dembele sioni future yake ndani ya barca unless abadilike kwa haraka mno ndani ya muda mfupi ujao lasivyo atolewe kwa mkopo kwa timu kama arsenal hivi akaimprove
Shenzy!!!!
Zidane alihojiwa akakaata hatofanya. Ok tutaona siku hiyo itakavyokuwaHii kitu inatokea pindi mkiwa ktk the same league au fixture. Madrid walichukua kombe la dunia la vilabu ambalo barca hawakushiriki. So hii laliga madrid walikuwemo from day one, lazma guard of honor iwahusu.
yeah usajili wa dembele kwakweli barca walikuwa wapo kwe frustration af sielewi why munir hakuonekana ubora wake wakat dg alikuwa akiperform fresh kila anapopewa chance, alitakiwa awe back up ya l.suarez alcacer hakutakiwa kabisa kusajiliwa kpnd kileAibu usajili wa 100+milion unatolewa kwa mkopo. Huyu dogo kila siku mi nasema barca walimnunua wakiwa frustrated after neymar depurture ila hana kiwango tofaut na Munir Elhadad ambaye alishasepa kitambo tu.