FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ule waraka wa KKKT nazani waliandikiwa wakina Roma huko...

Nazani waliusoma vizuri na kuulewa kisha wakatenda...
 

Coutinho wa kawaida?
 
Pole sweet wangu kwa Maswahibu ya Jana nilidhani this season ungeondoka na vikombe vitatu duhhh nilijua mwaka wenu huuu ndo hivyo tena,karibu uraiani sweet.....
Sista mbona unaongea utafikiri hauhusiki? ndiyo maana siku zote huwa natilia mashaka loyalty yako.
 
Sista mbona unaongea utafikiri hauhusiki? ndiyo maana siku zote huwa natilia mashaka loyalty yako.
Hahahaha!!!Yananihusu sana brother ila leo nimekuja km raia tu maana Wengine humu ndani hasa PNC ananiponda sana kwamba siwezi kuwa shabiki wa MANU na Barca,Ndo maana sijataka shari nimetoa pole km raia huku nikiumia km mzalendo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…