FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

I wonder kwa nn s.roberty anaanzia winger ya kulia..kwa nini c ractic..huyu kocha na style yake ya soka inanishinda kabsa...
 
Daah mkuu mida kama hii sikawii sema vijana wameshazingua huko wanamuacha Dzeko anatupiga nje ndani
Leooooo mhhh [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
  • In other news, Pep Guadiola anaendelea kutandikwa huko. Na sasa yuko nje ya mashindano rasmi .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio tabu ya kushinda mechi nyingi kwan unakuwa unajiamini kupita kiasi,yaani leo Barca kakalishwa na Roma,ila poleni ndugu zangu mliobet.
 
90th min 3-0 Aggregatr 4-4. Barca ouuuuut.[emoji38][emoji38][emoji38]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom