Kitu ambacho Messi hajafanya ni kuisaidia team yake ya taifa kuchukua copper America na World Cup bahati mbaya kwake anajificha kwenye uzuri wa Club yake.wanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.
Wako wapi waliokuwa wanaimba kama wimbo wa taifa kwamba "eti Oooh Messi10 hajawahi kuwafunga Chelsea, pia hajawahi kumfunga Buffon ambae ni 1 ya golikipa bora duniani".
Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.
Messi leo kocha asimtoe hadi apige hatrick
Nani kakwambia washabiki wote wa Barcelona tupo Argentina. Ukiwa mgeni wa mambo uliza. Messi anaisaidia sana Argentina, Tena sana. hivi juI ilikuwa kidogo isiiende Russia lakini jamaa singlehandedly kaivusha. Kaifikisha timu yake fainali. Amechukua uchezaji bora wa world Cup, asingechukua kama angekuwa haisaidii timu yake. yaani wewe mtu kuisaidia timu mpaka achukue kombe la dunia au la bara?Kitu ambacho Messi hajafanya ni kuisaidia team yake ya taifa kuchukua copper America na World Cup bahati mbaya kwake anajificha kwenye uzuri wa Club yake.
Pia Ronaldo hajaisaidia Portugal kombe la dunia japokuwa yeye kavuka hatua moja ya kuvaa Euro medal .
Ukweli huu mchungu Kwa Messi funs ukizingatia Messi na Ronaldo ndio kombe lao la dunia la mwisho na team ya America inayoweza kuchukua kombe hili ni Brazil 10% team yenu Barcelona funs (Argentina) mnajua Hakuna team pale ni genge la superstars
90%kombe la dunia linaenda ulaya ,msichukie jamani kila mtu anayo haki ya kikatiba kutoa maoni bila kuvunja sheria
Mchawi wa mpira toka sayari ingine, 28 leo bado 1 nifurahi zaidi.
ninavyompenda lionel messi ni kwamba hana muda wa kupigishana kelele na vyombo vya habari, sijawahi kumsikia akijisifu kama yeye ni mchezaji bora duniani na hakuna aliyewahi kutokezea kama yeye.
hahahahahahaa ukimaliza mpira anakwenda kwenye kijumba chake cha udongo anajifungia ndani na watoto wake.
goli hili alilofunga messi kama nafasi hii anaipata romelu lukaku basi atamgongesha kipa.
madrid wanasema leganese ni timu dhaifu lakini wanasahau ya kwamba ndio timu iliowatoa kwenye michuano ya kombe la mfalme.
Real Madrid News: Leganes make history by dumping Los Blancos from the Copa del Rey | Goal.com
wanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.
Wako wapi waliokuwa wanaimba kama wimbo wa taifa kwamba "eti Oooh Messi10 hajawahi kuwafunga Chelsea, pia hajawahi kumfunga Buffon ambae ni 1 ya golikipa bora duniani".
Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifungawanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.
Wako wapi waliokuwa wanaimba kama wimbo wa taifa kwamba "eti Oooh Messi10 hajawahi kuwafunga Chelsea, pia hajawahi kumfunga Buffon ambae ni 1 ya golikipa bora duniani".
Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.
Siku hizi wameanza kusema hajawahi kuwafunga Everton wala Watford -Haters be like that [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Achana na huyo, shabiki wa feki ronado.Nani kakwambia washabiki wote wa Barcelona tupo Argentina. Ukiwa mgeni wa mambo uliza. Messi anaisaidia sana Argentina, Tena sana. hivi juI ilikuwa kidogo isiiende Russia lakini jamaa singlehandedly kaivusha. Kaifikisha timu yake fainali. Amechukua uchezaji bora wa world Cup, asingechukua kama angekuwa haisaidii timu yake. yaani wewe mtu kuisaidia timu mpaka achukue kombe la dunia au la bara?
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga
Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.
Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Ni wale wale tu, timu feki feki ....Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga
Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.
Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Sijakataa nimekubali kawafungwa Chelsea, ila hebu linganisha kiwango cha Chelsea ya sasa na Chelsea zote alizo kutana nazo Messi, hii ni dhaifu kuliko hizo zotee.Nyie hamkosagi visababu, mara oh hajawahi kuwafunga chelsea mara oh chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga..mara oh hajawahi kumfunga Buffon haya amemtoboa 2 sasa tena dobo, halafu unakuja kusema mara oh amemfunga Buffon katika mwaka wake wa mwisho mara wadhaifu. Duh haters mnakazi kweli kweli.
Ni wale wale tu, timu feki feki ....
Kwanza aende kwenye Uzi wao, huku anafanya nini. Hatuhitaji vijisababu visivyokuwa na nguvu.Nyie hamkosagi visababu, mara oh hajawahi kuwafunga chelsea mara oh chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga..mara oh hajawahi kumfunga Buffon haya amemtoboa 2 sasa tena dobo, halafu unakuja kusema mara oh amemfunga Buffon katika mwaka wake wa mwisho mara wadhaifu. Duh haters mnakazi kweli kweli.
Messi ni mmoja ya wachezaji bora wa muda huu ila si mchezaji bora kuwahi kutokea duniani.Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.
Ana magoli zaidi ya 500, kwa hiyo hayo magoli yote kawafunga magolikipa waliochoka?? Kweli wewe huna hoja za msingi.Sijakataa nimekubali kawafungwa Chelsea, ila hebu linganisha kiwango cha Chelsea ya sasa na Chelsea zote alizo kutana nazo Messi, hii ni dhaifu kuliko hizo zotee.
Buffon wa mwaka huu amabaye hata mechi za ndani hadaki zote naye kaisha, Messi hajamfunga Buffon on his prime.
Kwa hiyo its nothing special kaotea mida mibovu tu
Huo ni mtazamo wako. Usitake kutulazimisha wote tuwe na mtazamo wa mlengo wa ki feki feki. Hayo kawalopokee kwenye Uzi wenu huko.Messi ni mmoja ya wachezaji bora wa muda huu ila si mchezaji bora kuwahi kutokea duniani.
Unatoka nje mada hapo, nimeongelea ishu ya Chelsea na Buffon. Ambayo nimekubali kuwa finally kawafunga lakini wakiwa weak.Ana magoli zaidi ya 500, kwa hiyo hayo magoli yote kawafunga magolikipa waliochoka?? Kweli wewe huna hoja za msingi.
Unamaanisha nini unaposema funs?Kitu ambacho Messi hajafanya ni kuisaidia team yake ya taifa kuchukua copper America na World Cup bahati mbaya kwake anajificha kwenye uzuri wa Club yake.
Pia Ronaldo hajaisaidia Portugal kombe la dunia japokuwa yeye kavuka hatua moja ya kuvaa Euro medal .
Ukweli huu mchungu Kwa Messi funs ukizingatia Messi na Ronaldo ndio kombe lao la dunia la mwisho na team ya America inayoweza kuchukua kombe hili ni Brazil 10% team yenu Barcelona funs (Argentina) mnajua Hakuna team pale ni genge la superstars
90%kombe la dunia linaenda ulaya ,msichukie jamani kila mtu anayo haki ya kikatiba kutoa maoni bila kuvunja sheria
Kumbe wakati mnashangilia bicycle kick mlikua mmesahau kwamba Buffon amechoka?Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga
Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.
Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu