FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kiukweli dembele bado hajafiti kwenye mfumo wa Barcelona anapoteza sana mipira. Kosa lingne lilikua kwa Rakitiki alijisahau kua anatakiwa afanye kazi ya Busquat akaendelea kufanya kazi yake. Ikapelekea nafasi ya Busquat kua wazi.
Dogo bado hajalink vizuri na Roberto huwa wanaoverlap vizuri sana na Semedo. Pia sikuhizi anasomana vizuri na Messi na leo hawajacheza wote. Siwezi kumlaumu kuwa leo hakuwa vizuri japo pale mwanzo alitoa pass nzuri kwa Alba ambayo kidogo Suarez atie kambani.
 
Wakuu tarehe 21 mwezi huu tunakutana na hawa Sevilla fainali ya CDR. Tusirudie huu ujinga. Pia nawatakia sikukuu ya wajinga njema, msherekee kwa akili🙂🙂
 
Wakuu tarehe 21 mwezi huu tunakutana na hawa Sevilla fainali ya CDR. Tusirudie huu ujinga. Pia nawatakia sikukuu ya wajinga njema, msherekee kwa akili🙂🙂
Hivi ndio kesho ee,, Asanteee kwa kunishtua
 



Pure Talent From Dennis Suarez siku zote uwa nasema dogo hatari ana vitu vikubwa sana kwenye miguu yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…