Sasa kwa mfumo huu unaonukia nukia hapaHhhhhhh....ukisikika ww

Sasa kwa mfumo huu unaonukia nukia hapa![]()
Stop Insulting RonaldoView attachment 728804
Wewe ungekuwa ni kocha ungempanga Dembele ktk nafasi ipi?Mkopo tena, sasa mbona kuchezea hela tu waliyomsajilia
Dembele kilichomchelewesha ni majeruhi tu aliyopata mwanzoni mwa msimuWewe ungekuwa ni kocha ungempanga Dembele ktk nafasi ipi?
Wacheze sahz Dembele si yupoBarca wanafikiria kucheza Formation ya 4-3-1-2
Sergi Roberto, Pique, Umtiti na Alba
Rakitic, Sergio Busquet, Coutinho
Lionel Messi
Antonie Griezmann na Luis Suarez
Wapi Yerry minaKikosi cha keshoView attachment 729735
Nashukuru kumuona Denis amerudi kundiniKikosi cha keshoView attachment 729735
Jamaa anasugua benchi hadi basi, atapigwa mkopoWapi Yerry mina
Wamemuahidi next season atachezaJamaa anasugua benchi hadi basi, atapigwa mkopo
Hiyo news sijaisikia, itakua good thoWamemuahidi next season atacheza
Nimesoma kule barca liveHiyo news sijaisikia, itakua good tho
NtapitiaNimesoma kule barca live
Poa mkuuNtapitia
Pale anatengenezwa kijana Alena ni kiungo mzr sana na kumchukua Authur ni future idea mana dg anajua kudrive team kwenda mbele anajua kufunga na ku assist,Pale kuna fraud kubwa sana.. Viongoz hawana maono kabsa..iniesta anaondoka je ni nan kaandaliwa...? Pengo la xav mpaka Leo hii halijazibka ..upuuz Wa kumuachia alcantara wakat wanajua kabsa xavi umri umemtupa.. Uongoz unawaza kujaza forward line tu wakat tatzo kubwa zaid lipo kwenye mild field.., cjui wanafkriaje pale kat. Ractic,, busquet, paulhno, iniesta, umri sio Rafk tena kwao na bado walikomaa kumleta coutnho pekee bla kutafuta mbadala Wa mda mrefu pale katkat..sina iman kabsa na utawala Wa huyu rais..
Hata bench hayupoJamaa anasugua benchi hadi basi, atapigwa mkopo