Barca kwenye masuala ya pesa wapo kama wapale, we tazama hata kwenye kusajili wachezaji, wagumu sana kutoa pesa. Leo hii coutinho amekuja Barca Januar kisa tu mwaka jana ilitakiwa pesa nyingi, Alcantara ndo hivyo, leo hii angekuwa Barca ndie angekuwa ameishika timu kwa upande wa kiungo.Mkuu uko sahihi...hil swala barca huwa wana fail sana..kama unakumbuka issue kama hii ili rise kutoka thiago alcantara..dogo ilibid asepe zake..nafkr hata umtiti atasepa..siku hiz team yetu inapenda sana michezaj mizee kuliko dam changa.., kwa kwel huwa siwaelew kabsa..nafkr utawala Wa rosell ulikua ni utawala bora zaid huu uliopo
Usajili wa grezman siuelewi na siufrahii kwasababu grezman ni left footer amabae anacheza upande wa kulia ambako yuko messi na dembeleBarca kwenye masuala ya pesa wapo kama wapale, we tazama hata kwenye kusajili wachezaji, wagumu sana kutoa pesa. Leo hii coutinho amekuja Barca Januar kisa tu mwaka jana ilitakiwa pesa nyingi, Alcantara ndo hivyo, leo hii angekuwa Barca ndie angekuwa ameishika timu kwa upande wa kiungo.
Kuna kipindi Messi chupuchupu aondoke Barca kwa ajili ya maslahi, leo tunataka kumsajili Griezmann.
Dah hata mie siuelewi kabsa huo usajiliUsajili wa grezman siuelewi na siufrahii kwasababu grezman ni left footer amabae anacheza upande wa kulia ambako yuko messi na dembele
Pale kuna fraud kubwa sana.. Viongoz hawana maono kabsa..iniesta anaondoka je ni nan kaandaliwa...? Pengo la xav mpaka Leo hii halijazibka ..upuuz Wa kumuachia alcantara wakat wanajua kabsa xavi umri umemtupa.. Uongoz unawaza kujaza forward line tu wakat tatzo kubwa zaid lipo kwenye mild field.., cjui wanafkriaje pale kat. Ractic,, busquet, paulhno, iniesta, umri sio Rafk tena kwao na bado walikomaa kumleta coutnho pekee bla kutafuta mbadala Wa mda mrefu pale katkat..sina iman kabsa na utawala Wa huyu rais..Usajili wa grezman siuelewi na siufrahii kwasababu grezman ni left footer amabae anacheza upande wa kulia ambako yuko messi na dembele
Ndio wanapaswa kuwa wagum kama wana mbadala...! lakn Enrique alitumia pesa nying sana kwenye usajil Wa michezaj ya hovyo zaid tena kwa gharama kubwa zaid..almost 90% aliowanunua Enrique walikua zero kabsa..kinachonishangaza zaid barca hii kwa sasa haiwekez kwa vijana ...ni team isio kuwa na muunganiko mzur kwa sasa..Barca kwenye masuala ya pesa wapo kama wapale, we tazama hata kwenye kusajili wachezaji, wagumu sana kutoa pesa. Leo hii coutinho amekuja Barca Januar kisa tu mwaka jana ilitakiwa pesa nyingi, Alcantara ndo hivyo, leo hii angekuwa Barca ndie angekuwa ameishika timu kwa upande wa kiungo.
Kuna kipindi Messi chupuchupu aondoke Barca kwa ajili ya maslahi, leo tunataka kumsajili Griezmann.
Umtiti tutamsikiaga tu daahHii inaweza kuwa sababu but hata kwa negotiations zinazoendelea hawataki kumpa mshahara ambao Man U wako willing kumpatia wa 9M Euro.
Case ya salah na umtiti ziko sawa kimaudhui ila kimantiki ni tofauti.

Tutakuwa kama mashabiki wa asenaliMkuu uko sahihi...hil swala barca huwa wana fail sana..kama unakumbuka issue kama hii ili rise kutoka thiago alcantara..dogo ilibid asepe zake..nafkr hata umtiti atasepa..siku hiz team yetu inapenda sana michezaj mizee kuliko dam changa.., kwa kwel huwa siwaelew kabsa..nafkr utawala Wa rosell ulikua ni utawala bora zaid huu uliopo
Dennis Suarez anatufaa mbele ni lakn kuna kila dalili za kijana kusepa, labda huyo Arthur Melo ndio kiungo mbadalaPale kuna fraud kubwa sana.. Viongoz hawana maono kabsa..iniesta anaondoka je ni nan kaandaliwa...? Pengo la xav mpaka Leo hii halijazibka ..upuuz Wa kumuachia alcantara wakat wanajua kabsa xavi umri umemtupa.. Uongoz unawaza kujaza forward line tu wakat tatzo kubwa zaid lipo kwenye mild field.., cjui wanafkriaje pale kat. Ractic,, busquet, paulhno, iniesta, umri sio Rafk tena kwao na bado walikomaa kumleta coutnho pekee bla kutafuta mbadala Wa mda mrefu pale katkat..sina iman kabsa na utawala Wa huyu rais..
Umtiti watampa atakacho.Umtiti tutamsikiaga tu daah![]()
Wampe tu abaki jamaa anajituma sanaUmtiti watampa atakacho.
Liverpool wanamtaka akiondoka salahKuja kwa Griezmann simply means kwamba Dembele anaondoka kwa mkopo pale Barca.
Mkopo tena, sasa mbona kuchezea hela tu waliyomsajiliaKuja kwa Griezmann simply means kwamba Dembele anaondoka kwa mkopo pale Barca.
Tutakuwa kama mashabiki wa asenali